“Juma anasema” ni vitabu vya kuelimisha vilivyoandikwa na kuchorwa na Nathi Ngubane ambaye ni Mzaliwa wa Durban. Na kutolewa na Social Bandit Media, iliyo na makao Jozi na New York.
Vitabu hivi ni kuhusu hadithi za Juma, dada yake Zena na marafiki zao, wanavyojaribu kuishi katika janga hili la korona.

Katika kitabu cha kwanza, “Juma anasema: osha mikono yako, vaa barakoa!”, Juma na ndugu yake wanaona kwamba kuna baadhi ya watu kwenye jamii hawavai barakoa, hivyo basi wanaibua mpango wa kujaribu kuilinda jamii yao.

“Duma says” is an educational book series written and illustrated by Durban-born Nathi Ngubane and produced by the experimental Social Bandit Media, based between Jozi and New York.

The seriesĀ is about the adventures of Duma, his sister Zihle and their friends, as they try to find their way during this pandemic.
In Book 1, “Duma Says: wash your hands, wear a mask!”, the duo notice that many in the community are not wearing masks, so they hatch a plan to try and protect their community.